HAND OF GOD

ACT ONE

scene 1;

[JUMA  LOST HIS JOB RECENTLY, HE WALKS ON STAGE  LOOKING WORN OUT AND DEPRESSED, THE LANDLORD HAD ISSUED HIM A NOTICE TO VACATE AND TODAY BEING THE DEAL  DAY, HE HAS NOWHERE TO GO]

JUMA; [He gives a loud wail crying] My God!…. My God! Oooh my God…. why have you forgotten me? Haiko fair  I feel like am walking on endless terrain of burning charcoal. My God am loosing my peace .ooh God Come and comfort your suffering child

[a knock is heard at the door , He wipes off his tears and opens the door, Jacob, Shii and Jane have come to visit him]

SHII; [Tends to give juma a hug but he is not interested] .Eish! Juma ,we are friends ama tulikosana tena?

JACOB; Whatsup bro, usiniambie stress ya kukataliwa na caro bado haijaisha?[with a sneer} ama mutura yenye tulikula jana ndio inakusumbua?

JUMA; [With a soft voice] shut up Jacob, tafadhali things are not as good as they seem. Imagine leo ndio siku yenye nitalala nje……

KIM; Usikuwe mjinga bro, sini last year tulikuwa tunalala nje weekend zote, ama hio nje ilikuwa ndani?

JANE; Please guys hii condition ya juma inakaa serious hamuoni venye amefura kama mandazi ya kariokor?

JACOB; Then he shoud tell us what’s wrong [ turns to juma] hey bro, shida ni gani ama unataka tushinde tumefloat hapa kama ferry ya likoni?

JANE; Ama tuseme ni ile bangi alikuwa anatumia before aokoke inamsumbua?

ALL; [laughter] by the way …. [laughter]

JUMA; Woiiii…. dunia.. simama nishuke

SHII; Woishe wewe kumbe unaeza kuwa big baby?

JUMA; Apana shii but i wish i was , sahii ningekuwa na mum bila stress [He clears his throat] My friends nyinyi ni watu wa nguvu, ngori yenye niko nayo niati any time from Now landlord atacome kunifukuza na sina place ya kudoz….

JACOB; Lakini bro si wewe  ni Yule msee huwa hakosi dooh, huwa unatuspoil kila weekend, ama wewe sio juma?

JUMA; Hey Jacob, vindu vichinjaga, miezi mbili sijakuwa job sahii nimetumia savings zangu zote,  sijui nitaelekea wapi mimi…. wasee, wazito, watu wa nguvu, simnajua mimi ni rafiki yenu.

KIM; Yeah …tunajua …..lakini hio njia unapitia nakuonea 18.

JUMA; Wasee nikona shida, na mnajua marafiki ni kusaidiana,,, sasa mimi kama brathe na nyinyi kama maarif wa nguvu, i thought mnaeza ni changia kidogokidogo at least nione za kulipa rent this month. Ama niaje sweet precious blessed friends?

SHII; Juma …. kababa, aki nakuhurumia but hii wikendi kuna game na lazima ni bet.. aki kama sio hiyo game mimi ningekusaidia.

JUMA; shii, situliokoka tukaacha kubet?

SHII; Okaay hii wikendi na bet mara ya mwisho i wont bet again.

JACOB; Bro mimi ningekusaidia but ngombe yangu inazaa kesho

JANE; Waah Jacob wonders shall never sieze,kwani ngombe yako iko maternity ati utaitishwa hospital bill?[ turns to juma] me siezi kukopesha , nilikuwa na kutaka  lakini ulinikataa , pambana na hali yako bro.

KIM;  Juma i know what you are going through , as a matter of fact pia mimi niko kwa ngori kama hiyo yako but kitu muhimu ni kutrust God.

JUMA; Thanks bro kwa kunipea nguvu, surely God will provide for us.

KIM; una place nilikuwa naenda kujaribu bahati ya kazi let me be going before hii opportunity iniponyoke

[kim walks out the stage, landlord anaingia]

 

scene 2;

[Juma is pleading with the landlord to allow him stay in for that day, the landlord has turned a deaf ear on him as he continues moving his household items out of the house]

LANDLORD;  wewe endelea kulia hapo utajua  huku kwangu si camp za IDP.

JUMA; Tafadhali boss, wacha tu niishi hii wiki moja nikitafuta kwa kwenda, sahii  ukinifukuza nitalala nje kama mbwa.

LANDLORD; Eeh, eeh, leo hayo maneno yako ya huruma siyasikizi.

JUMA; lakini mzae……. siunajuaaaaa………..

LANDLORD; Uuuuiii…. ati mzae? hata hiyo yenye unasema najua leo sijui. Good thing niati hii nyumba ikona mpagaji mwingine, i mean ni wewe ulikuwa unamchelewesha.

JUMA; Woooii…. ati umesemaje….. sikuelewi  jamani

LANDLORD; Kiziwi maneno yamekushinda kuelewa ….. wacha nikuimbie niona kama tutaelewana [ clears throat]

Ki….. ki… kijana  nimesema kwa ploti yangu leo hulali

Riah aah aah….. leo hulali …. sasa umesikia

JUMA; [Wipes tears] okay, hope leo utaniruhusu nilale hapo kwa corridor yako at least nisinyeshewe

LANDLORD; Uncle juma , pole [laughs] shame on you siuende kwa hao marafiki huwa unaenda kununulia mutura kwa kwa kimemia ukiomoka.

JUMA; Hope those friends were available now, ningekuwa nishaenda but wameniruka wote.

LANDLORD; Haata , note this, kwa corridor yangu huwezi lala,kwa kitchen pia huwezi lala juu, waaaaah, hio jasho yako itaafanya sufuria zianze kuharibu chakula haraka.infact sahii unafaa kuwa umechukua hutu tumikebe twako nauende kabisa. [landlord locks the door and leaves the stage]

JUMA;  [CONFUSED AND STRANDED] Oooh… God, who cursed me, kwanza nilikuwa the most hardworking man kwa kisiagi ya wafula but still alinifuta kazi….Ooooh God nisaidie, coz najua your hand is always at work.Nakutegemea peke yako eeh Mungu.[HE  LEAVES THE STAGE]

ACT 2

SCENE 1

[ TASHA  ,JEREMY AND DOUGLAS  ARE IN A HOTEL DISCUSSING THE PROGRESS OF THEIR COMPANY]

DOUGLAS; [clapping] wow… wow… congratulation Mr  Jeremy …. your hardwork and skills in this field is really paying, by the way how did we manage to make a profit 50% in less than a month ?

JEREMY; Douglas we are partners in this business, any success that we incur its all because of our hardwork and comitment , usinisifu saaana ,naeza pata kiburi.

DOUGLAS; fine … but you still need to accept its your  brilliant mind  that has brought this simpotenuous improvement…

TASHA; [turns to Jeremy] i thank God all praise of success is to you, otherwise sahiii hatungekuwa tunapumua juu ya kiburi ya mtu Fulani hapa.

JEREMY; Tasha i wish ungekuwa single, mimi ningekuoa, but its okay ,Nelson alibahatikia….

DOUGLAS; Jeremy wewe huwa unaambia kila mrembo utamuoa, tamaaa za kifisi zitakumaliza .

JEREMY;   should we continue with the business that brought us here ama mtashinda mmenikondolea macho?

TASHA; Guys we had planned to hire a skilled personnel as our new director but nowadays kupata mtu trustworthy ni ngumu.

[ waiter gets in to deliver their orders]

DOUGLAS; Hey young lady umechelewa sana ama ulikuwa unachemsha soda?

WAITER; pole sana boss fridge ilikuwa imekataa kufunguka.

DOUGLAS;  [ignoring the waiter] so guys how can we a well skilled person to manage our company? Because……

WAITER; [interrupts] ye… ye… ye…..boss naeza kusaidia

JEREMY; sasa madam waiter unaeza tusaidiaaje wewe?

WAITER; Wewe uchiniite madam, naitwa chiru naunaeza tuma nikose bwana….. oooh okay , kuna huyu kijana alikuwa anafanya kazi kwa wafula naeza waconnect muone kaa mtasaidiana…… infact yeye hukuwa disciplined sana…. na tena akona muscles.

TASHA; is that man skilled enough to handle our business?

WAITER; iinii, kwanza akona digiri ya first class honours business management.

DOUGLAS; tunaeza mpata wapi coz we need him more than ever?

WAITER; [ pretentious cry] aki huyo kijana ninamhurumia  sana, alifukuzwa na landlord sahii huwa analala chini ya malorry…… [cry]

JEREMY; na sasa huyo ndiye tutafanya kazi na yeye?

TASHA; relax Jeremy maybe we should give him a try.

WAITER; Nitawashow place yenye huwa anakua  kesho……… wacha ni rudi kwa kazi yangu nisifutwe

DOUGLAS; So guys , lets hope that man will be of the standard that we want. Atakuwa ametusaidia sana

JEREMY; Since we have nothing else to discuss, we should be going

[ they leave the stage]

 

SCENE 2

[JUMA IS SCHEMING A WAY TO COMMIT SUICIDE, HE HAS LOST HOPE  OF LIFE DUE TO STRUGGLES  HE HAS BEING GOING THROUGH ]

JUMA; God i have waited for too long , i have suffered terribly, God this is my last prayer, when i die please comfort me and  don’t judge me for thew action  am about to take [ he takes a rope and tends to move out when , shiru, Jeremy , Douglas  and Tasha]

WAITER; Mambo Juma…… my crush unalia, ….. waaah na hio kamba umeshika ni ya nini?

JUMA; Am tired of living in this terrible world  eating from the bins and sleeping under caravans, heri nife niondokee masaibu haya.

TASHA; Ooh juma , i understand what your are going through, no job and no shelter, am so sorry young man.

JEREMY; Take heart no need of comiting suicide, God has a great future for you.

JUMA ; Which future, my friends waliniacha , my family after kusikia nimefukuzwa , nobody seems to care of my whereabouts. Tell me which future are talking about?

DOUGLAS; Mr Juma, am douglas . this is Tasha, and Jeremy, shiru told us about you and thats the reason tuko hapa.

JUMA; reason gani?

TASHA;  shiru had secretly given me you papers,  don’t mind of how she found them , good news is that i found you to be a sitable person to work as our new manager in the company.

JUMA ; Sure … do you really mean nikona job sahii..

JEREMY;  Job ukonayo and still the room that utakuwa unaishi iko prepared , you will need to move out of this place now.

JUMA;  thank you God for being faithful to me. [ they all hug each other] [lights off] …..

 

               The end;